SUPER STAR'Z WA BONGO
Friday, April 4, 2008
Moto kuwaka BSS leo!
›
Patakuwa hapatoshi leo kwenye ukumbi uliopo ndani hoteli ya Blue Pearl ndani ya jengo la Ubungo Plaza ambapo wakali wa 5 watatupa karata zao...
BSS wakamatishwa Bingo zao!
›
Mshindi wa (BSS) Bongo Star Search 2008,mwanadada Misoji Mkwabi jana alikamatishwa rasmi zawadi zake za ushindi kutoka kwa wadhamimi wa shin...
Sunday, March 23, 2008
XG (GOD NYANI) PRODUCER WA JITA RECORDS
›
Huyu ndiye producer XG anaye fanya maproducer wakongwe wa dar waumize vichwa pia wasanii ma superstars kama Sqeezer na Mansoor kumkubali Eb...
1 comment:
Tuesday, March 18, 2008
Muungano nje ya Tip Top!
›
Katika hali ambayo naweza kuiita ya kushangaza...wale wasanii wawili maswahiba......Mb Dogg na mwenzake Deso, ambao sio siku nyingi zilizop...
Tuzo za vinara wa Filamu kusheheni Mei 2008
›
Baada ya kufana kwa uzinduzi wa Tuzo za Vinara wa filamu Tanzania, na waandaaji wanaalikwa kujaza fomu za ushiriki ili kuweza kuwasilisha ka...
Monday, March 17, 2008
Misifa Uscandinavia!
›
Kama kawaida yake ni yuleyuleee mzee wa Misifa a.k.a Dully Sykes kama anavyojulikana kwasana washabiki wake...na habari zilizoifikia meza ye...
JITA RECORD'S SASA YAWA TISHIO DAR
›
Jita Record's sasa inazidi umiza vichwa baadhi ya wa miliki wa studio kutokana na ubora wa kazi zinazo fanyika hapo pia producer XG a.k....
›
Home
View web version