
Sunday, December 30, 2007
Zahir Ally Zorro anatarajia kufunga pingu za maisha kesho

Kama tulivyoripoti siku chache zilizopita, msanii wa muziki wa kizazi kipya, Banana Zahir Ally Zorro anatarajia kufunga pingu za maisha kesho ndani ya Msasani Beach Club.Anamuoa mchumba wake aitwaye Suzy Walele.
Pichani ni Banana Zorro(kushoto) akiwa na mchumba wake Suzy wakati wa send-off iliyofanyika katika ukumbi wa Sababa uliopo Kilwa Road jijini Dar-es-salaam jioni ya jana. Kila la kheri Banana na Suzy.
Fid Q akitumbuiza
A Y nae alipagawisha
Subscribe to:
Posts (Atom)