Msanii wa filamu nchini, Steven Kanumba mwishoni mwa wiki iliyopita alijikuta akimwaga chozi la furaha nchini Marekani baada ya kupewa tuzo ya Best Tanzania Hollywood Achievement, kutoka Kampuni ya Universal Hollywood ya nchini humo.
MWANAMUZIKI nyota wa muziki wa kizazi kipya, Banana Ally Zorro(pichani), baada ya kutesa vilivyo katika anga la muziki hivi karibuni anatarajiwa kuibuka kivingine katika filamu mpya ya ‘Kibongo’ inayokwenda kwa jina la ‘Mr. Handsome’, imefahamika. Habari zaidi bonyeza hapa.
Mimi ni computer programmer,mwana blog & Mkurugenzi JITA RECORD'S iliyopo Dsm Sinza Tanzania "www.jitarecods.8k.com" napenda marafiki wa aina zote pia kama unachochote unaweza changia kwa kutuma picha kupitia blog hii