Huyu ndiye producer XG anaye fanya maproducer wakongwe wa dar waumize vichwa pia wasanii ma superstars kama Sqeezer na Mansoor kumkubali Ebwana hapa akitafuta sample kiaina chemba
Mimi ni computer programmer,mwana blog & Mkurugenzi JITA RECORD'S iliyopo Dsm Sinza Tanzania "www.jitarecods.8k.com" napenda marafiki wa aina zote pia kama unachochote unaweza changia kwa kutuma picha kupitia blog hii