Wadau wa Blog hii Waishio Bongo Wakiwa na Mshindi wa BBA 2007
Kwajinsi huyu jamaa alivyokuwa anadamu yakupendwa na watu hata hawa wa Tanzania ambao pia ni wadau waliweza kujimovuzisha naye mbele ya Camera hii.Big Up!
HONGERA KWA KUANZISHA BLOG HII NATUMAI UTAKAZA BUTI KWA KUTULETEA VITUZZZ KILA SIKU. USHAURI WA BURE: JARIBU KUEPUKANA NA PICHA NA MATUKIO YASIYO NA HESHIMA
Mimi ni Computer programmer by Profesional,pia mwana blog & Mkurugenzi wa SKY LINK PRODUCTION & JITA RECORD'S zilizopo Sinza Dsm,Pia ni moja ya wasanii wa filum za kibongo walio kuja kasi na kuonesha uwezo mkubwa katika sanaa hiyo mwaka 2010 Tanzania Kifupi napenda kuwa karibisha kwenye blog yangu na kupata habari zangu pia nategemea maoni yenu yenye kujenga pia unaruhusiwa tuma habari na picha za msanii yoyote wa movie ili pia kumtangaza .
"www.jitarecods.8k.com"
2 comments:
HONGERA KWA KUANZISHA BLOG HII NATUMAI UTAKAZA BUTI KWA KUTULETEA VITUZZZ KILA SIKU. USHAURI WA BURE: JARIBU KUEPUKANA NA PICHA NA MATUKIO YASIYO NA HESHIMA
EBWANA MMEPENDEZA ILA MSI MTIGHT SANA BWANA HASA WEWE!!!!!!!!!!BIG UP!
Post a Comment