Thursday, December 27, 2007

jahffarai kuaga mwaka




Jahffarai kuaga mwaka hivii!
Tukiwa tunajiandaa kumalizia mwaka wa 2007 na kuukaribisha mwaka wa 2008,msanii Jahffarai anajiandaa kuachia singo itakayokuwa zawadi ya kufunga mwaka 2007 kwa wapenzi wote wa muziki wake.

Hayo yalithibitishwa na Jahffarai mwenyewe na kuitaja zawadi hiyo ya singo kuwa itaitwa 'Am in luv'...ambayo imetengenezwa kwenye studio za Big Time production chini ya producer makini Said Komorie.

1 comment:

(Victor)Dr.Kelvin said...

Ebwana victor bhwana machizi tume ikubali blog yako kwani ina tupa habari nyingi za ma superstarz wa bongo BipUp!